Tabuda

Afrika Kaskazini wakati wa Dola la Roma

Tabuda, Thouda au Tahuda (zamani ilijulikana kamaThabudeos kwa Kilatini)[1] ulikuwa mji wa mkoa wa Mauretania Caesariensis. Mji huu ulikuwa muhimu sana katika Dola la Roma, Ufalme wa Bizanti na Ufalme wa Wavandali, pia unajulikana kwa magofu ya mawe katika oasisi karibu na kijiji cha Sidi Okba, nchini Algeria .

  1. Amira Khouas; Mohamed Hamoudi; Fatma Khaldaoui; Hamza Mihoubi; Yacine Rabah Hadji (2017). "Subsurface geophysics applied to archaeological investigation of Thabudeos Roman fortress (Biskra, Algeria)". 10 (522). Arabian Journal of Geosciences. doi:10.1007/s12517-017-3260-1. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search